Weka Pesa 1xBet kwa Haraka
Chagua shift inayotumika sasa, kisha fuata maelekezo ya mtandao wako. Baada ya kufanya malipo, wasiliana nasi WhatsApp kwa uthibitisho na msaada.
Malipo ya Mapema
Chagua njia yako ya malipo na muhudumu anayehusika. Muda halisi wa kila muhudumu unaweza kuthibitishwa kwenye profile yake ya WhatsApp.
Chagua Muhudumu Kulingana na Njia ya Malipo
Muhimu: Chagua Muhudumu Sahihi
Usitume pesa kwa namba yoyote bila kujiridhisha. Angalia njia unayotumia, muhudumu anayehusika na taarifa zote za muamala kabla ya kutuma. Hii inapunguza makosa na kurahisisha uthibitisho wa malipo.
Malipo ya Night Shift
Tumia maelekezo haya kwa malipo ya usiku. Wasiliana kwanza na muhudumu wa Night Shift kabla ya kutuma malipo, na zingatia muda wa kazi ulioelekezwa.
Muhudumu wa Njia Zote za Malipo
Muhudumu huyu anahudumia njia zote za malipo za Night Shift, ikiwemo mobile money, Selcom Pesa na malipo kupitia benki.
Kabla ya kufanya malipo
Hakikisha unasoma namba ya malipo, jina la mpokeaji na shift inayotumika kwa umakini. Ukihitaji uthibitisho au umekwama, wasiliana nasi kwanza kupitia WhatsApp.
Weka pesa kupitia Romano Pay
Bonyeza hapa kuwasiliana na mhudumu wa Deposit.







