Romano Pay
Kuhusu SisiNyumbaniWeka PesaToa PesaSupport
◉ WhatsApp
← Rudi Nyumbani
TERMS OF USE

Masharti ya Matumizi

Kwa kutumia huduma za Romano Pay, unakubaliana kufuata masharti haya pamoja na taratibu za huduma tulizoelekeza kwenye tovuti hii na mawasiliano yetu ya WhatsApp.

1. Matumizi ya Huduma

Romano Pay ni huduma ya kusaidia deposit na withdrawal kwa watumiaji wa 1xBet Tanzania. Mteja anatakiwa kufuata maelekezo sahihi ya huduma anayochagua.

2. Uthibitisho wa Taarifa

Mteja anapaswa kutoa taarifa sahihi za muamala, ikiwemo ID ya 1xBet, jina la mlipaji, kiasi na risiti pale inapohitajika. Taarifa zisizo sahihi zinaweza kuchelewesha huduma.

3. Njia Sahihi ya Malipo

Kabla ya kutuma fedha, hakikisha umetumia muhudumu sahihi na njia sahihi ya malipo. Usitume fedha kwa namba au akaunti usiyoelekezwa rasmi na Romano Pay.

4. Muda wa Huduma

Huduma zetu hufuata ratiba ya shifts zilizoainishwa kwenye tovuti. Maelekezo ya muda wa kazi yanaweza kubadilika kulingana na taarifa za wahudumu.

5. Uwajibikaji wa Mtumiaji

Mtumiaji anawajibika kuhifadhi ushahidi wa muamala wake na kuhakikisha maelezo anayowasilisha ni ya kweli kabla ya kuomba msaada au uthibitisho.

6. Mabadiliko ya Masharti

Romano Pay inaweza kuboresha au kurekebisha masharti haya wakati wowote ili kuboresha utoaji wa huduma. Toleo la hivi karibuni ndilo litatumika.

Romano Pay × 1XBET

Huduma za kuweka na kutoa pesa kwa 1xBet Tanzania.

ROMANO PAY Kuhusu Sisi Weka Pesa Toa Pesa Support
Navigation Huduma zetu Matawi Yetu Jinsi ya Kazi Maswali (FAQ)
Contacts Calls: +255782775570 WhatsApp: +255753949451 Email: info@romanopay.com
CONNECT WITH ROMANO PAYReach us on Social Media
X@1xbetcashwakala X@AirRomano f@onexbetcashromano ◎@onexbetcashromano ◉WhatsApp Channel
© 2026 Romano Pay. All rights reserved.
Terms of UsePrivacy Policy