Honest Mtalo ndiye mwanzilishi wa Romano Pay. Anaongoza mwelekeo wa huduma kwa kuhakikisha mfumo wa deposit, withdrawal na support kwa wateja wa 1xBet Tanzania unaenda kwa mpangilio mzuri, wa haraka na unaoeleweka.
“Kunjua nafsi ubarikiwe maana kizazi chetu tukizeeka hatutaki tuje kuwa na wazee wachawi” - Honest Mtalo